Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Ali
Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui
kuhudhuria kumbukumbu ya hitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume
huadhimishwa kila mwaka siku ya 7 April.kwa kusama dua.
Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu
ya CCM Kisiwandui.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Viongozi wa Serekali na Maofisa ya JWTZ alipowasili
katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM kisiwandui kuhudhuria hitma ya
kumbukumbu ya Mzee Abeid Amani Karume.
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji akitia ubani kupiga fatha kwa
kuaza kwa kisomo cha hitma ya kumsomea Mzee Abeid Amani Karume.
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji akisoma dua katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Mwakilishi wa dini ya Hindu Zanzibar Bangwanji Mshamba akisoma dua ya
madhehebu yao wakati wa kisomo cha kumbukumbu ya Mzee Abeid Amani
Karume.
Wananchi waliohudhuria hitma ya Mzee Abeid Amani Karume katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakiitikia dua.
Rais wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein,
akiongozana na Viongozi wa juu wa Serekali ya Muungano na ya Mapinduzi
Zanzibar, akiwemo Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete, katika hitma ya kumuombea Mzeee Abeid Amani Karume iliofanyika
katika Afisin kuuya CCM kisiwandua wakiwa katika kaburi la MzeeKarume
kwa ajili ya kuweka maua ya kumkumbuka. baada ya kusomwa hitma na dua
kupitia Viongozi mbalimbali wa Dini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein, akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Mzee Abeid Amani
Karume baada ya kusomwa kwa hitma na dua
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.
Kamanda wa JWTZ akiweka shada la maua kumuakilisha Mkuu wa Majeshi Tanzania
Kiongozi wa Mabalozi Wadogo Zanzibar wanaowakilisha Nchi zao akiweka
shada la maua kwa niaba ya Mabalozi Wadogo walioko Zanzibar.
Kiongozi wa Wazee alioshiriki Mapinduzi ya Zanzibarv Mzee Juma Ame akiweka shada la maua kwa niaba ya Wazee
Mjukuu wa Mzee Abeid Amani Karume, Abeid Karume akiweka shada la maua kwa niaba ya Familia ya Marehemu Mzee Karume.
Mke wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Salma Kikewte akiongozana na Wake wa Viongozi katika hitma ya kumbukumbu ya Mzee Abeid Amani Karume,ilifanyika leo katika jengo la Afisi Kuu ya CCM kulia kwa Mama Salama Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal aliyekuwa Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amour Mama Salma na kushoto Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, Mama Asha Balozi Seif na Mama Pili Balozi Seif
No comments: