
Jamaa mwenye koti akidai kwa Dereva kurudishiwa nauli yake ambayo kondacta ametokomea nayo pasipo eleweka

Abiria wakiwa wamesimama wasijue wanaenda wapi

Abiria wengine wameamua kutembea kwa mguu baada ya usafiri kuwa shida na Kushushwa katika Magari

Hao wanaondoka sasa


Afisa kutoka Jeshi la Polisi akiwa amefika kwa ajili ya kuweka hali sawa na kutuliza hali hiyo, ambapo hali kwa ni kuwa hakuna usafiri wa aina yoyote.

Askari wa usalama wa Barabarani akiendelea kuweka Mambo sawa

Abiria wakiendelea kushuka

Konda akiwataka watu washuke
Picha na Mbeya Yetu
No comments: