Garcia aliyefunga bao pekee la Atletico Madrid
KLABU
ya Atletico Madrid imezidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu
ya Hispania baada kuidonyoa Villarreal kwa bao 1-0 katika mchezo
uliomalizika muda mfupi uliopita.
Bao pekee katika mchezo huo liliwekwa kimiani na Raul Garcia dakika dakika ya 13 akimailizia kazi nzuri ya Koke
No comments: