Bao la dakika ya 88 la Demba Ba limeivusha Chelsea hadi Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa faida ya bao la ugenini baada ya sare ya jumla 3-3, ikishinda 2-0 Uwanja wa Stamford Bridge, London.
Andre Schurrle alitangulia kuifungia Chelsea dakika ya 32, akimalizia pasi ya David Luiz hadi mapumziko wenyeji walikuwa mbele kwa bao 1-0.
Waleteeeeeeeeee
Jose Mourinho alikuwa mwenye furaha kubwa leo baada ya bao Ba
Kocha Jose Mourinho ambaye timu yake ilifungwa 3-1 katika mchezo wa kwanza mjini Paris, Ufaransa alipagawa kwa furaha baada ya bao la Ba akaenda kushangilia na wachezaji wake kwenye kibendera.
No comments: