ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Klabu ya Real Madrid imefanikiwa kuzoa pointi zote tatu na idadi nzuri ya magoli baada yakuwafunga Almeria 4-0 katika mechi ya ligi kuu. Wakicheza bila mchezaji wao nyota Cristiano Ronaldo, walicheza kwa kushambulia mwanzo wa mchezo na kufanikiwa kupata goli la kwa kupitia Di Maria dakika ya 28. Bale aliongeza la pili dakika ya 53, Isco dakika ya 56 na mchezaji aliyeingia Moratta kuhitimisha idadi hiyo dakika ya 84.
Real Madrid 's Alvaro Morata (21) celebrates his goal against Almeria with teammates during their Spanish first division soccer match at Santiago Bernabeu stadium in Madrid, April 12, 201 (Reuters)

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top