ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Mgambo wa jiji wanaoendelea na Operesheni ya safisha jiji kwa kuwaondoa wafanyabiasha wadogo na wauza magazeti katika maeneo yasiyo rasmi, muda huu wamevamia makaburi ya Sheikh Kasim Bin Juma na Sheikh Yahya Hussein, yaliyopo eneo la makaburi ya Tambaza jirani na Muhimbili na kuyavunja. Haikuweza kufahamika haraka kuwa makaburi hayo ni miongoni mwa uchafu wanaoshugulikia kuuondoa ama vipi.
 
Baadhi ya wananchi ndugu na jamaa wa marehemu waliolala kwenye makaburi hayo waliofika kushuhudia mgambo hao wasiotaka kusikia la mtu.
 Mwandishi wa Itv, Godfrey Monyo akiwa eneo la tukio.
 Haya ni baadhi ya majengo ya katikati ya mji yaliyobomolewa na mgambo hao.

Mapaa yote yaliyoongezwa katika majengo yalibomolewa.
 Hali ya baadhi ya majengo katikati ya mji ni kama hivi.
 
                                                                        Kazi inaendelea

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top