ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Mgombea Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana.
Mgaya amesema amevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye hamfahamu majira ya saa sita za usiku akiwa katika nyumba ya kufikia wageni ya Goodtime Chalinze.
"Nimevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye simfahamu ahsante uongozi wa chadema kwa kunisaidia,"alisema Mgaya.
Mgaya amesema ameumia mikononi wakati nikipangua nakujitetea mvamizi alikuwa na panga. Mbali na yeye pia amesema pia kiongozi wa Chadema, Mwita Waitara naealijeruhiwa kwakuwa alikuwa moja ya watu waliokuwa wakimsaidia.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top