Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Beranard Membe akiongoza mazungumuzo ya Raia Pacha alipokua akiongea na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly na Katibu wake Amos Cherehani (hawapo pichani) wakiwemo maafisa wa Ubalozi na baadhi ya WanaDMV kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Mhe. Bernard Membe akiongelea swala la Raia pacha kulia ni naibu spika Job Ndungai akifuatilia mazangumuzo hayo.
Kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Rasi Idd Sandaly na Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakifuatilia mazaungumuzo
No comments: