Katika
pitapita yake Kamera ya Sufianimafoto, ilinasa Taswira hii ya Bandari
ya Dar es Salaam, ikiwa na magari machache ikilinganishwa na siku za
nyuma ambapo magari yalikuwa yakizidi kuwa mengi na kufikia mengine
kupigwa mnada baada ya wahusika kushindwa kuyatoa bandarini hapo
kutokana na gharama kuwa kubwa, lakini ni tofauti na sasa na huenda ni
kutokana na kuongezeka kwa Bandari Kavu ya Shaurimoyo ama la.
Taswira
No comments: