MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST GRADE II)
MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST GRADE II) – (NAFASI 23)
Nafasi
hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki, Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Katibu Mtendaji
Ofisi ya Rais Tume ya Mipango na Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia .

2.1 MAJUKUMU YA KAZI
Kuhudumia kamati mbalimbali za Bunge (Kamati za mahesabu ya Serikali, Kamati ya mahesabu ya mashirika ya Umma)
Kukusanya takwimu na taarifa
mbalimbali za kiuchumi kwa ajili ya uchambuzi na uandaaji wa sera na
mipango ya kiuchumi na kijamii
Kufanya utafiti na uchambuzi wa sera na vigezo vya kiuchumi jumla
Kufanya utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika
Kukusanya taarifa na takwimu zinazohitajika katika kubainisha vipaumbele vya ustawi namaendeleo ya jamii.
Kutayarisha na kusambaza takwimu na taarifa za kiuchumi kwa wadau
2.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani zifuatazo;
Uchumi (Economics)
Takwimu (Statistics )
2.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.
MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania.
ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii. Waombaji ambao tayari ni
Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti
na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa
Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
iv. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe
katika kichwa cha habari cha barua na juu ya bahasha, kutozingatiwa
hili kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili.
v. Waombaji waambatishe maelezo
binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu
za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa
kuaminika.
vi. Maombi yote yaambatane na vyeti
vya taaluma, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa
wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali
kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka au kupotea.
- Shahada ya juu/Shahada/Stashahada ya juu/Stashahada/Astashahada.
- Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
- Cheti cha Kompyuta
- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
- Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vii. “Transcripts”, “Testmonials”,
“Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato
cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
viii. Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45.
ix. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
x. Waombaji kazi ambao tayari ni
waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma
wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC.
45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
xi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
xii. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 15 Aprili, 2014
xiii. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira HAURUHUSIWI.
xiv. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).
xv. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo;-
Katibu, AU Secretary,
Sekretarieti ya Ajira katika Public Service Recruitment
Utumishi wa Umma, Secretariat,

No comments: