ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Rais mstaafu wa awamu wa tatu Mh Benjamin Mkapa leo amefanya ziara kumtembelea Shule ya msingi ya Manyara Ranchi inayofadhiliwa na shirika la kimataifa la uhifadhi wa wanyamapori la African wildlife foundation wilayani Monduli.
  Rais mstaafu wa awamu wa tatu, Mh. Benjamin Mkapa (katikati) akimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa wakati alipotembelea Shule ya msingi ya Manyara Ranchi inayofadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Wanyama pori la African Wildlife Foundation,wilayani Monduli.
Mzee Mkapa ni Makamu mwenyekiti wa shirika hilo lenye makao yake mjini Washington Marekani.picha mbalimbali zinamuonesha waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimuongoza Rais Mkapa kuzuru shule hiyo.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimueleza jambo Rais mstaafu wa awamu wa tatu,Mh. Benjamin Mkapa wakati walipokuwa kwenye moja ya madarasa ya shule hiyo.
Rais mstaafu wa awamu wa tatu,Mh. Benjamin Mkapa akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top