Meneja
wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa
wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo
uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha Rasmi Studio ya
kurekodi Muziki ambapo sasa nyimbo zao watakuwa wanafanyia katika Studio
yao.
Kutoka kushoto ni mmoja wa waimbaji wa Skylight Band Sam Mapenzi, wakatikati ni Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba pamoja na Mwimbaji mwengine wa Skylight Band Joniko Flower wakiwa wanazungumza na waandishi wa Habari na wadau mbalimbali wakati wa Uzinduzi wa wimbo wao mpya wa Kariakoo pamoja na Kutambulisha Rasmi Studio yao
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba akitangaza rasmi ratiba zao za show ya Pasaka ambapo Tarehe 20/04/2014 watakuwa wanashow ya nguvu Mwanza Skylight Beach Resort (Jembe Beach) ambapo Watakao kata tiketi kabla itakuwa ni Tsh 10,000 na watakao katia Getini itakuwa ni Tsh 15,000 Pia tarehe 27/04/2014 kutakuwa na Tamasha maalum la kutambulisha Nyimbo mpya na wanamuziki wapya Escape One ambapo panafanyika Show za kila Jumapili ,aliongeza kuwa kila siku ya Ijumaa Show huwa Thai Village Masaki.
Baadhi ya wanamuziki wa Band ya Skylight wakiwa wanafuatilia kwa umakini utambulisho huo wa wimbo wao mpya wa Kariakoo pamoja na Studio mpya ya kisasa ambayo itatumika kutengenezea nyimbo zao zote.
Slider[Style1]
Style2
Style3[OneLeft]
Style3[OneRight]
Style4
Style5
Home
Burudani
SKYLIGHT BAND WAFANYA UZINDUZI RASMI WA NYIMBO MPYA YA 'KARIAKOO' PAMOJA NA KUTAMBULISHA STUDIO YAO
Tagged with: Burudani
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
- Popular Post
- Video
- Category
Películas populares
-
Simulizi kali ya kutisha iliyoandikwa na Amir Malick, imeanza leo sehemu ya kwanza...
-
ILIPOISHIA: “MAMAA.. MAMAAAAAAAAAAAAA….!!!” Kelele zilisikika kutoka ndani ali...
-
ILIPOISHIA: Macho yalikuwa yamebadirika rangi na kuwa myekunduuu kama amemwagiwa maji ya p...
-
MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 100) Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
-
Ilipoishia Maria alimpigia Johnson simu akamwambia anataka akalale tena nyumbani kwake Johnson akamgomea akamwambia asije sababu waz...
-
COMPUTER SYSTEM ANALYST II (MOBILE APPLICATIONS DEVELOPMENT/PROGRAMMER) POSITION DESCRIPTION: COMPUTER SYSTEM ANALYST II (...
-
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (Nacte) limesema kuanzia mwaka huu wa masomo, wanafunzi wanaotaka kujiunga na masomo ngazi ya astasha...
-
Ilipoishia Mzee Joseph akamuambia Maria "Binti umependeza sana we mrembo kweli Johnson anajua kuchagua" Maria akacheka kusikia...
-
The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products f...
-
Ilipoishia Johnson alipanga kumpa Maria penzi zito ile siku sababu alimfurahisha sana
No comments: