Moto ulianza saa moja hadi saa mbili kasoro ndio gari la tanesco kitengo cha emergency ndio lilizima kwa flash za upepo. Kwa bahati nzuri moto haukuathiri nyumba za karibu kwa maeneo yale na hakuna mtu aliyepata majeraha yoyote kwa mlipuko huo.
TRANSFORMER LALIPUKA MAENEO YA DAR WEST, TABATA JIJINI DAR
Gari la fire likiwa linafika ila lilichelewa na kuishia kuzima moshi tu. Imetokea Dar West Park, Tabata Transformer inayoangaliana uso kwa uso na geti kuu la bar hiyo.






No comments: