Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika PTA Sabasaba April 12 siku ya Jumamosi
| Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba kushoto ni bondia Gavad Zohrehvand wa Iran . |
Baadhi ya Waandishi wa habari wakipata taswira mbalimbali za mabondia wakati wa kupima uzito.
www.superdboxingcoach.blogspot.com
No comments: