ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Katika mechi hiyo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, huku Azam FC ikitaka pointi tatu kumaliza kazi, wageni ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Gaudence Mwaikimba katika dakika ya 45. Lakini Mbeya City wakasawazisha kupitia Mwagane Yeya katika dakika ya 70 kabla ya nahodha John Bocco kutupia bao la pili na kuhitimisha safari yao ya kutwaa ubingwa wakiwa na mchezo mkononi dhidi ya Ruvu JKT. Hii ni mara ya kwanza kwa Azam FC kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara

Azam inakuwa timu ya sita nje ya Simba SC kutwaa taji la Ligi Kuu, baada ya Cosmo mwaka 1967, Mseto mwaka 1975, Tukuyu Stars mwaka 1986, Coastal Union 1988 na Mtibwa Sugar mara mbili mfululizo 1999 na 2000.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top