ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

 
Bao la kufutia machozi la Kagera Sugar, lilifungwa na Daud Jumanne, katika dakika ya 63 baada ya beki wa Yanga Oscar Joshua, kujaribu kumrudishia kipa wake mpira wa kichwa uliokuwa mfupi na kunaswa na mshambuliaji huyo aliyemchambua kipa wa Yanga, Deogratias Minishi. Hadi mwisho wa mchezo huo Yanga ya Jijini Dar es Salaam, 2 na Kagera Sugar ya Mjini Bukoba 1. 
Didier Kavumbagu (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Kagera Sugar, Ernest Mwalupani.
 
 
                             Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la pili
Wachezaji wa Yanga, wakishangilia bao la pili lililofungwa na Didier Kavumbagu (pichani wa pili kushoto)

Mabeki wa Kagera Sugar, akimdhibiti Simon Msuva.
Didier Kavumbagu, akitunishiana msuli na wachezaji wa Kagera Sugar.
 
 Hapa si kwamba wanacheza Bruzi, bali ni beki wa Kagera Sugar akijaribu kumdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu.

 
 
 Sehemu ya mashabiki wa Yanga.
Hussein Javu, akimburuza beki wa Kagera Sugar.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top