MKE WA BALOZI UTURUKI AKITOA ZAWADI ZA NGUO KWA MAALBINO |
WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINISM KUTOKA KUTOKA NCHINI UGANDA |
BAADHI YA WALIOFIKA KWENYE VIWANJA VYA MNAZIMMOJA LEO |
WAKIWA KATIKA MAANDAMANO HUKU WAKIWA MABANGO MBALIMBALI YALIOKUWA NA UJUMBE |
KITUO CHA KULELEA WATOTO KILICHPO BAGAMOYO CHA FROLA |
OYA MPAKA LIPASUKE PUTO HILO |
BAADHI YA WALEMAVU WA NGOZI WAKIWA KATIKA MAADHIMISHO |
MAMA HUYUI AKIMPA SODA MTOTO WAKE |
MAMA HUYU AKIWA NA MTOTO WAKE |
WATOTO KUTOKA SIMIU PEPETUA NA FELISTA WAKIIMBA WIMBO KWA MGENI RASI |
WAKIMSALIMIA WAZIRI WA AFYA |
FELISTA NA PEPETUA |
WATOTO WA KITUO CHA FRORA CHA BAGAMOYO KUTOKA KUSHOTO HAWA BASHIRI MAGRETH BENJAMINI NA KULIA NI RAIMOND INOCENT |
WATU WENYE ULIMAVU MAALIBINO WAKIPANGA FOLENI WAKISUBIRI KUPIMA AFYA ZAO |
MLEMAVU WA NGOZI AMBAYE ALIKATWA MIKONO YOTE 2 NA WATU WALIOKWENDA KUVAMIA NYUMBANI KWAKE KWA SABABABU YA USHIRIKA AKITOA USHUDA WAKE |
WATU WENYE ULEMAVU KUTOKABURUNDI .MALAWI WAKIWA KATIKA MAADHIMISHO HAYO |
WATOTO WALIOHUDHURIA |
WATOTO WA KITUO CHA MGOLANI |
HATA KUCHATI KUNA RUHUSIWA INGAWA MKUTANO UNAENDELEA POA |
NA SISI WATOTO WETU NI MAALBINO TUMEWAPELEKA |
BAADHI YAO WALIKUJA KUHUDHURIA MAADHIMISHO HAYO |
WAGENI |
TUMEKUJA KUONA |
No comments: