Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akitoa maneno ya utangulizi kwa Waheshimiwa
Wabunge wakati wa semina ya wabunge wote kwa ajili ya uwasilishwaji wa
mapendekezo ya mfumo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais – Uhusiano Mhe. Steven Wazira akiwasilisha
mwelekeo wa hali ya uchumi kwa mwaka 2014/2015 kwa waheshimiwa wabunge
Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo wa
Mapato na Matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 kwa
Waheshimiwa Wabunge.Katibu
wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila akisikiliza kwa makini hotuna ya Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo wa
Mapato na Matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 kwa
Waheshimiwa Wabunge.Waheshimiwa Wabunge wakifuatilia hotuba.Waziri
Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Uhusiano Mhe. Steven Wazira wakipitia
nyaraka mbalimbali wakati Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akitoa maneno
ya utangulizi kwa Waheshimiwa Wabunge wakati wa semina ya wabunge wote
kwa ajili ya uwasilishwaji wa mapendekezo ya mfumo wa bajeti ya serikali
kwa mwaka 2014/2015.Wabunge wakifuatilia hotuba kwa makiniWatendaji wa Wizara ya Fedha wakimsikiliza Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum
Picha na Owen Mwandumbya
No comments: