Spika wa
Bunge,Mh. Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania. Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza leo
mei 6, 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma leo Mei 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akila kiapo Bungeni mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.
Mbunge
Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge
wa CCM kuingia kwenye Ukumbu wa Bunge Mjini Dodoma, leo Mei 6, 2014
Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akila kiapo Bungeni Mjini Dodoma,leo Mei 6, 2014.
Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akimpongeza Mbunge Mpya wa Chalinze,Ridhiwani
Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.
Waziri wa
Nchi,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. William Lukuvi akimpongeza Mbunge
Mpya wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini
Dodoma leo Mei 6, 2014.
Mke wa
Rais,Mama Salma Kikwete akiwa Bungeni Mjini Dodoma Mei 6,2014 wakati
mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma, Dr. Rehema nchimbi.
Mke wa
Rais,Mama Salma Kikwete na familia wakiwa Bungeni Mjini Dodoma leo Mei
6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kulia kwake ni
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Dr. Rehema Nchimbi.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments: