Munir El Haddadi jana alifunga bao tamu kutoka katikati ya Uwanja Barcelona ikitwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa vijana chini ya umri wa miaka 19 kwa kuifunga Benfica mabao 3-0 mjini Nyon, Usiwsi. Munir alifunga mabao mawili jumla jana dakika za 33 na 87, wakati bao lingine lilifungwa na Rodrigo Tarin dakika ya tisa.

Nahodha wa Barca, Roger Riera akiwa ameshika taji la Ligi ya Mabingwa kwa vijana jana baada ya ushindi

No comments: