Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma,Fatma Ally, wakizindua kisima cha maji, wakati wa hafla fupi
ya uzinduzi huo iliyofanyika leo mchana wilaya ya Chamwino. Mradi huo mkubwa wa maji wenye uwezo wa kuwahudumia wakazi zaidi ya 13,000, umegharimu kiasi cha fedha Sh. Milioni 300.
Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma,Fatma Ally kwa pamoja wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi rasmi na matumizi ya maji salama ya bomba hilo.
Muonekano wa kisima hicho baada yakuzinduliwa.
Waziri wa Maji, Profesa.Jumanne Maghembe, akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma, baada ya kuzindua rasmi kisima hicho.
Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akipanda mtiwa kumbukumbu baada ya uzinduzi huo.
Sehemu ya wakazi wa kijiji cha Mvumi wakishuhudia uzinduzi huo.
Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akizungumza na wanakijiji wa Mvumi makulu Mkoani Dodoma.
Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe (kulia), Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma,Fatma Ally (kushoto) na Ofisa Tarafa wa Chamwino, Mohamed Mfaki, wakielekea kuzindua Bomba la maji.
Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiagana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, Adrian Jungu.baada ya uzinduzi huo. Picha na Solomon Philemon
Slider[Style1]
Style2
Style3[OneLeft]
Style3[OneRight]
Style4
Style5
Home
Habari
Matukio
Picha
WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA
Tagged with: Habari Matukio Picha
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
- Popular Post
- Video
- Category
Películas populares
-
Simulizi kali ya kutisha iliyoandikwa na Amir Malick, imeanza leo sehemu ya kwanza...
-
ILIPOISHIA: “MAMAA.. MAMAAAAAAAAAAAAA….!!!” Kelele zilisikika kutoka ndani ali...
-
ILIPOISHIA: Macho yalikuwa yamebadirika rangi na kuwa myekunduuu kama amemwagiwa maji ya p...
-
MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 100) Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
-
Ilipoishia Maria alimpigia Johnson simu akamwambia anataka akalale tena nyumbani kwake Johnson akamgomea akamwambia asije sababu waz...
-
COMPUTER SYSTEM ANALYST II (MOBILE APPLICATIONS DEVELOPMENT/PROGRAMMER) POSITION DESCRIPTION: COMPUTER SYSTEM ANALYST II (...
-
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (Nacte) limesema kuanzia mwaka huu wa masomo, wanafunzi wanaotaka kujiunga na masomo ngazi ya astasha...
-
Ilipoishia Mzee Joseph akamuambia Maria "Binti umependeza sana we mrembo kweli Johnson anajua kuchagua" Maria akacheka kusikia...
-
The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products f...
-
Ilipoishia Johnson alipanga kumpa Maria penzi zito ile siku sababu alimfurahisha sana
No comments: