Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Vyuo Vikuu, Christopher Ngubiagai akifungua kongamano la Siku moja kwa Vijana wa CCM Mkoa wa Vyuo Vikuu ambalo lilikuwa la kumenzi Hayati Amani Abeid Karume, na kufanyika katika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam Aprili 7, 2014.
Washiriki hao walitoka katika vyuo mbalimbali vya jijini Dar es Salaam.
Makada hao wakifuatilia mada za Kumuenzi Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano wa Tanzania, Mzee Karume.
No comments: