
Kiungo wa Everton, Leon Osman ameonyesha namna jicho lake lilivyoharibika baada ya kujeruhiwa na beki wa Arsenal, Bacary Sagna.
Osman alipewa kadi na mwamuzi, kitu ambacho mwenyewe amepinga. Ameweka picha yake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram na kusisitiza ilikuwa hatari zaidi kwake
No comments: