Wakishangilia ushindi pamoja na Kiongozi wao Mutani Yangwe
TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA IMEFANIKIWA KUTWAA KOMBE LA
DUNIA KWA WATOTO WA MITAANI BAADA YA KUIFUNGA BURUNDI KWA JUMLA YA
MAGOLI 3-1! MPAKA KIPINDI CHA KWANZA KINAISHA TANZANIA WALIKUWA
WAKIONGOZA KWA MAGOLI 2-0 NA KIPINDI CHA PILI WALIONGEZA GOLI LA TATU,
HUKU BURUNDI WAKIJIPATIA BAO LA KUFUTA MACHOZI BAADAYE.


No comments: