Wachezaji wa klabu ya PSG
wamehaidiwa kiasi cha €450,000 kila mmoja endapo wataifunga au kuitoa
Chelsea katika mchezo wa kesho wa robo fainali ya ligi ya mabingwa wa
ulaya. Gazeti la Le Parisien limeripoti kwamba Raisi wa PSG Nasser
Al-Khelaifi ametoa ofa hiyo kuelekea mchezo wa kesho utakaopigwa katika
dimba la Stamford Bridge. PSG tayari wapo mbele kwa ushindi wa mabao 3-1 waliopata wiki iliyopita jijini Paris. Hatua inakuja siku chache baada ya kutoa ahadi ya €400,000 kwa kila mchezaji ikiwa tu watatetea kombe la ligue 1.
€450,000 ni zaidi ya billioni 1 kwa fedha za Kitanzania
Slider[Style1]
Style2
Style3[OneLeft]
Style3[OneRight]
Style4
Style5
Tagged with: Michezo
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: