Afisa
habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu(
kulia)akiwa tambulisha Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo kwa wahariri wa
vyombo vya Habari nchini katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya
Peacoco jijini Dar es Salaam.ikiwa ni mahususi kwa wahariri vyomba
mbalimbali nchini.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi
akisisitiza jambo kabla ya kuaza mkutano na wahariri wa vyombo vya
habari na Mamlaka hiyo , wanaomsikiliza (wapili kushoto) ni Inspekta
Mwanadamizi Idara ya Udhibiti wa Mamlaka ya Anga Tanzania, Mutesigwa
Mango ,Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Masuala ya Anga Julius
Kamhabwa na Afisa habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)
Bestina Magutu( kulia) Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya Peacoco
jijini Dar es Salaam,ukiwa na lengo la kutoa ufafanuzi na taratibu za
mamlaka hiyo kwa wahariri wa vyombo mbalimbali nchini.
.Baadhi
ya Wahariri wa vyombo vya habari nchini na waadishi wa habari
wakimsikiliza kwa makaini Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi (hayupo pichani) wakati alipokuwa
akiwaelezea shughuli mbalimbali ,Kanuni na taratibu za Mamlaka hiyo
wakati wa mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Inspekta
Mwanadamizi Idara ya udhibiti Maswala ya Anga,Mutesigwa Mango
,akifafanua jambo kuhusiana na ajira za Maarubani na wahudumu wa ndege
hapa nchini wakati wa mkutano na wahariri wa vyombo vya habari
uliohusu kanuni na taratibu za Mamlaka hiyo,Mkuatano huo ulifanyika
katika hoteli ya Peacoco jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi .Kulia
ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Masuala ya Anga Julius Kamhabwa.
Baadhi
ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa katika mkutano uliofanyika
jijini Dar es Salaam ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania ambao ulilenga kuwapa elimu juu ya shughuli zinazofanywa na
mamlaka hiyo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi (
wapili kutoka kushoto) Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Masuala ya
Anga Julius Kamhabwa (wa pili kulia) na Inspekta Mwanadamizi Idara
ya udhibiti Maswala ya Anga,Mutesigwa Mango (kushoto ) wakimsikiliza
kwa makini Mkurugenzi wa Idara ya Habari ( Maelezo) Assah Mwambene,
wakati alipokuwa akifafanua jambo kwenye mkutano ulioandaliwa na
Mamlaka ya Usafiri wa Anga kwa Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar
es Salaam.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene akifafanua jambo wakati
alipohudhuria mkutano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga ulioandaliwa
mahususi kwa Wahariri wa Vyaombo vya habari jijini Dar es Salaam.Kutoka
kulia wanaomsikiliza ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi , Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti
Masuala ya Anga, Julius Kamhabwa.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Masuala ya Anga, Julius Kamhabwe akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa katikaMkutano wa Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam,ambao ulilenga kufafanunua kuhusu kanuni na taratibu za Mamlaka hiyo.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi na Inspekta Mwanadamizi Idara ya udhibiti Maswala ya Anga,Mutesigwa Mango.
Slider[Style1]
Style2
Style3[OneLeft]
Style3[OneRight]
Style4
Style5
Tagged with: Habari
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
- Popular Post
- Video
- Category
Películas populares
-
Simulizi kali ya kutisha iliyoandikwa na Amir Malick, imeanza leo sehemu ya kwanza...
-
ILIPOISHIA: “MAMAA.. MAMAAAAAAAAAAAAA….!!!” Kelele zilisikika kutoka ndani ali...
-
ILIPOISHIA: Macho yalikuwa yamebadirika rangi na kuwa myekunduuu kama amemwagiwa maji ya p...
-
MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 100) Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
-
Ilipoishia Maria alimpigia Johnson simu akamwambia anataka akalale tena nyumbani kwake Johnson akamgomea akamwambia asije sababu waz...
-
COMPUTER SYSTEM ANALYST II (MOBILE APPLICATIONS DEVELOPMENT/PROGRAMMER) POSITION DESCRIPTION: COMPUTER SYSTEM ANALYST II (...
-
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (Nacte) limesema kuanzia mwaka huu wa masomo, wanafunzi wanaotaka kujiunga na masomo ngazi ya astasha...
-
Ilipoishia Mzee Joseph akamuambia Maria "Binti umependeza sana we mrembo kweli Johnson anajua kuchagua" Maria akacheka kusikia...
-
The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products f...
-
Ilipoishia Johnson alipanga kumpa Maria penzi zito ile siku sababu alimfurahisha sana
No comments: