ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Baada ya Mambo kuwa magumu kwa wasafirishaji wa madawa ya kulevya sasa wamegundua njia mpya ya kusafirisha madawa ya kulevya kwa kuwatumia waja wazito kwa kuwa huwa hawakaguliwi kwenye x ray za airport, siku za karibuni wamekamatwa wanawake kadhaa wajawazito ambao walikuwa wamemeza madawa ya kulevya. Njia nyingine inayotumika ni kusafirisha madawa hayo kwa kutumia Cargo ambayo ni mizigo mikubwa ambayo huwekwa nyuma ya ndege chini.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top