ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Steps Solar Moses Mwanyilu 'kulia' akimkabidhi Katibu mtendaji wa Tanzania Renewable Energy Association 'TAREA' Mathew Matimbwi moja ya bidhaa ya kampuni hiyo inayotumika majumbani wakati wa udhinduzi wa kutoa na kufunga bule baadhi ya vifaa vyake kwenye vituo vya umma pamoja na baadhi ya taasisi za serikali kama vile Shule, Zahanati pamoja na Vituo vya Watoto Yatima walivyovichagua kwa awamu ya kwanza kwa kushilikiana na TAREA
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Steps Solar Moses Mwanyilu 'kulia' akizungumza na waandishi wa habari awapo pichani jinsi watakavyotoa huduma yao ya kuunganisha solar katika baadhi ya vituo vya watoto yatima,shule pamoja na taasisi za serikali katikati ni Katibu mtendaji wa Tanzania Renewable Energy Association 'TAREA' Mathew Matimbwi na Meneja mipango wa TAREA, Emma Laswai kwa kushirikiana na TAREA

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

Top