WACHOMA MKAA WALIVYOFUNGA BARABARA KIJIJI CHA MBWEWE, WAMI BRIDGE
Wanakijiji wa Mbwewe walipokata mti na kuuangika barabarani hivyo kusababisha msululu wa magari na adha kwa wasafiri. Iliwachukua wasafiri takribani nusu saa baada ya kusaidiana kuukata na kuuondoa mti huo. Kilichopelekea kuangusha mti huo ni kuni na mkaa.
No comments: