ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

KLABU ya Arsenal imetoa jezi mpya baada ya kutwaa Kombe la FA kusherehekea miaka 20 ya uhusiano wao na Nike ambao umefikia tamati mwishoni mwa msimu huu. Ni jezi yenye mwonekano tofauti na jezi za miaka mingi iliyopita Arsenal na zinakuja baada ya kumaliza ukame wa miaka tisa wa mataji.
The Gunners walitwaa Kombe la FA Jumamosi baada ya kuifunga Hull City 3-2 ndania ya dakika 120 Uwanja wa Wembley.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top