Ilipoishia
Johnson alipanga kumpa Maria penzi zito ile siku sababu
alimfurahisha sana
Endelea
Johnson na Maria walichukua bajaji safari ya kwenda
nyumbani kwa Johnson ikaanza.
Johnson: "mpenzi
asante sana kwa zawadi zako nimezipenda sana yani hapa nilipo nina furaha
sana"
Maria: "usijali mpenzi kawaida tu nitazidi
kukufurahisha mpenzi nitakununulia zawadi kubwa zaidi ya hizo nilizokununulia leo"
Johnson alifurahi sana kusikia
vile lakini akakumbuka mzee Joseph alisema na yeye anataka zawadi akaogopa
kumuambia Maria kile kitu akapanga atachagua zawadi yoyote nzuri kati ya zile
alizonunuliwa na Maria atampelekea mzee Joseph.
Johnson: "mpenzi leo kwenu umeaga unaenda wapi?
Maria: "nyumbani wanajua nipo chuo mpenzi wala
usiwe na wasiwasi"
Johnson: "sawa mpenzi wangu nilijua hujaaga si
unajua jinsi wazazi wako walivyo watata nikaogopa tusije tukaenda nyumbani
kwangu tukajiachia wakaja kukutafuta watufume"
Maria akacheka akamuambia "Jamani Johnson wewe
muoga mimi siwezi kuondoka nyumbani bila kuaga nimeondoka asubuhi wanajua nipo chuo
usiogope mpenzi wangu"
Walipiga stori zao ndani ya bajaji hadi wakafika
nyumbani kwa Johnson wakamlipa dereva pesa yake wakashusha mizigo yao ile bajaji
ikaondoka wao wakaanza kuingiza mizigo yao ndani. Walivyomaliza kuingiza mizigo Maria akamuuliza Johnson
"vipi mpenzi nikusaidie kupanga vitu au utapanga kesho? Johnson: "acha tu mpenzi nitavipanga mwenyewe
kesho njoo tupumzike si unajua tumezunguka sana leo au wewe hujachoka"
Maria: "nimechoka mpenzi wangu basi twende
kwanza tukaoge ndio tuje tupumzike"
Lengo kubwa la Johnson lilikuwa ni kumpa maraha
Maria kama alivyopanga sababu alikuwa kashaanza kuyaona matunda yake.
Maria alipeleka maji bafuni akamshtua Johnson
wakaenda kuoga pamoja kule kule bafuni. Johnson akaanza kumchokoza Maria kwa
vimichezo michezo vya mapenzi ambavyo vilimfanya Maria acheke na kufurahi sana.
Walitoka bafuni wakarudi ndani Johnson alimbeba
Maria hadi kitandani huku wote wawili wakiwa wamevaa mataulo tu akaanza
kumchezea chezea Maria pale wote wawili walikuwa na hamu ya kufanya Mapenzi
sababu walikuwa wana wiki tatu hawajakutana kimwili, Johnson alianza
kumchezea Maria. Mtoto wa watu akaanza kujinyonganyonga pale kitandani
huku anatoa miguno ya maraha na yeye Johnson ndio akawa anazidisha mautundu, Maria
azidi kupiga kelele na kumkumbatia Johnson kwa nguvu. Johnson alivyoona mpenzi wake Maria yuko hoi akaanza
kumpa mambo mazito ilikuwa balaa pale kitandani Johnson na Maria walipeana
mambo mazito sababu kila mmoja alizimisi raha za mwenzake. Walimaliza mchezo na kupelekea wawe hoi sababu hawakuzoeshana
kufanya naye mapenzi mara kwa mara.
Maria alijilaza kwenye kifua cha Johnson akamuambia
"yani dear leo umenipa raha za ajabu sana umenipa mambo matamu sana ahsante
sana mpenzi wangu"
Johnson: "nipo kwa ajili yako mpenzi wangu
nipo kwa ajili ya kukupa raha hata wewe pia umeniridhisha mpenzi nilikuwa nna
hamu sana na wewe Maria"
Maria: "sasa kwa haya mambo unayonipa unadhani
nitakubali kwenda kusoma Uganda Baba na Mama wasahau hicho kitu"
Johnson: "huwezi kubishana na wazazi wako wakiamua
uksome Uganda utaenda tu"
Wakati Johnson na Maria wanapiga story pale
kitandani simu ya Maria ikawa inaita kucheki alikua ni Mama yake anapiga Maria
akapokea wakasalimiana mama yake akamuuliza "Maria mwanangu uko wapi?
Itaendelea…………………
Itaendelea…………………
No comments: