ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Viongozi wanne wa CHADEMA toka ngazi ya Wilaya na Kata katika Mkoa wa Arusha wameachia nyadhifa zao na kujitoa uanachama wa chama hicho. Viongozi hao ni Amani Torongey (Mwenyekiti Monduli), Revocatus Parapara (Mwenyekiti Ngorongoro), Gerald Majengo (Mwenyekiti Kata ya Terati) na Prosper Mfinanga (Katibu Mwenezi Kata ya Olorien) wamekutana na wanahabari kueleza kuwa wameamua kuwa raia wa kawaida kutokana na kutokupewa fedha za kuendesha chama.

Pia, wamedai kutokuwa na uhuru wa kuchangia hoja wakati wa mikutano mbalimbali na iwapo wakichangia, wakibainika, hufukuzwa katika nyadhifa zao

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top