AWAMU YA
KWANZA; Vijana 20,000 wataripoti kwenye makambi ya mafunzo ya JKT
kuanzia tarehe 01 Juni 2014 na kuanza rasmi mafunzo yao tarehe 08 Juni
2014 na kumaliza tarehe 04 Septemba 2014. Orodha yao itaanza kuonekana
kwenye website ya JKT tarehe 11 Mei 2014 kuanzia saa nne (4) asubuhi.
AWAMU YA
PILI; Vijana 14,450 wataripoti kwenye makambi ya mafunzo ya JKT kuanzia
tarehe 11 Septemba 2014 na kuanza rasmi mafunzo tarehe 18 Septemba 2014
na kumaliza tarehe 17 Desemba 2014. Orodha yao itaanza kuonekana kwenye
website ya JKT tarehe 15 Mei 2014 kuanzia saa kumi (10) jioni.
1. Kijana yeyote mwenye ulemavu unaoonekana aripoiti katika kambi ya mafunzo ya Ruvu JKT (832 Kikosi cha Jeshi).
2. Vijana wote wanatakiwa kuwa na vyeti vya kumaliza Kidato cha Sita (Leaving Certificate).
3. Inasisitizwa vijana waripoti kwenye makambi waliyopangiwa na siyo kuja Makao Makuu ya JKT.
Bofya hapo chini kujua majina ya makambi uliyopangiwa;
No comments: